Duration 5:10

Harusi ya Joti: Baba Joti amfunda mwanaye, 'mimi navituko kukuzidi'

61 250 watched
0
173
Published 29 Oct 2017

Baba mazazi wa Joti amemtaka mwanaye kuwa mtulivu katika ndoa yake huku akidai yeye alikuwa navituko hata mkuzidi Joti lakini aliamua kutulia ili kuendesha maisha yake. Mzee huyo amemtaka Joti kuomba msamaha pindi anapomkosea mke wake.

Category

Show more

Comments - 16