Duration 21:36

Kunywa maji Lita hizi. Maji mengi husababisha ganzi,Moyo kupanuka na Kupungukiwa madini ya Chumvi

92 930 watched
0
665
Published 1 Mar 2020

Ushawahi Kuambiwa maji baridi yanagandisha mafuta mwilini? Ushawahi kuambiwa unatakiwa unywe maji lita nne na zaidi eti kwa sababu una uzito wa kilo zaidi ya 100? Je hili ni sahihi kwa wote? Tizama somo hili

Category

Show more

Comments - 138
  • @
    @salomeconstantine47024 years ago Dr, mi nasumbululiwa na presha ya kupanda miaka mitano sasa na ilitokana na uzazi na huwa inanisumbua sana japo natumia dawa, likaja kujitokeza tatizo . ...Expand 3
  • @
    @erastobefoodproducts4 years ago Safi sana dr nimejifunza ubarikiwe sana. 2
  • @
    @saudmohammed33904 years ago Kazi nzuri mkumbo
    mungu akubariki sana
    nimekufahamu vizuri.
    1
  • @
    @MaryNjoroge-bh7cc9 months ago Shukrani sana daktari kwa ushauri wako. 1
  • @
    @asyaasya37663 years ago Shukran doctor kwa kutuelimisha hatukua tunajua hilo. 1
  • @
    @fatmakombo75844 years ago Shukran docktar elimu uliotupa ni nzur sana. 1
  • @
    @maureenjovial60834 years ago Shukran sana daktari nimepata kuchua sasa.
  • @
    @franciscowilliam25754 years ago Shukrani sana nilikua nayahisi maji kua ni suspect muda mrefu sana ila nilikua sijui kwasababu zipi. Umefafanua vizuri sana imeeleweka. Mimi na familia yangu tutaanza kufuatilia rasmi mafunzo uliyotoa, barikiwa sana. 2
  • @
    @noelmarapachi18084 years ago Mungu akubariki dr. Mkumbo kwa kufungua channel hii. 1
  • @
    @fundieddy91644 years ago Duh!
    tunywe maji kwa kufuata kiu na hali ya afya tuliyonayo, siyo kufuataza kwenye makopo ya maji ya
    ni ya kitaalam, yaliyoelezwa kwa njia inayoeleweka mno.
    asante sana dr. Boaz.
    mungu akubariki sana
    .
    ...Expand 8
  • @
    @salmaamiry76742 years ago Nakubali sanaa dokta mie nilifanya hilo jaribio na mda nijilazimisha kunywa maji ningali sina kiu na bado nanenepa ila baada yakufanya mwili unavyotaka basi napata matokeo mazuri tu.
  • @
    @ashashabani44024 years ago Mara tunywe maji mengi! Mara ni hatar eh? Jamani. 3
  • @
    @mary.matullu82794 years ago Nakubaliana na wewe.
    big up. Kunywa maji ukiwa na kiu.
  • @
    @rosejohnsadock15593 years ago Kazi nzuri dokta ila mom nina tatizo la chunusi mwilini nisaidia jinsi ya kuondoa au nitatizo gain hili.
  • @
    @kijajoseph85924 years ago Yes, kunywa maji mengi ni madhara tena da. 1
  • @
    @OmanOman-zc5dt4 years ago Doktar nipenambar yako ili nipate ushauli zaidi. 3
  • @
    @rehemashebanikasenge51384 years ago Jee mm nakunwa maji yakiwa moto kiasi hivi nisawa coz mm ni mgonjwa wa thyroids nimeacha kula dawa za thyroids for 3mths now but nime kuwa na weight kubwa 80 nisaidie advise.
  • @
    @mamakonkimamakonki49014 years ago Docta mimi nina presha ya kupanda naweza kunywa maji kiasi gani kwa siku, na nifanye nini ili nipunguke. 2
  • @
    @aishamawalla7334 years ago Doctor jibu comment jamani site tupate faida. 2
  • @
    @hassankipalalah542211 months ago Dr unanishauri nini kuhusu biashara ya juisi ya matunda na juisi ya miwa niifanyeje ili iwe bora?
  • @
    @macscotty34093 years ago Doctor nashida na no. Zako asee unisaidie.
  • @
    @alidaniel45314 years ago Dk mie figo yangu inavijiwe vidovido je nini chanzo na nini solushani yake? 1
  • @
    @ashajuma64324 years ago Dr b. Nina uzito wa 105 nifanyeje ili nipungue. 2
  • @
    @yengeselemanikiza14844 years ago Ni kiasi gani cha maji ambacho ni kizuri kwa siku kwa mgonjwa wa type 2 ya kisukari. 1
  • @
    @westonmbuba64214 years ago Mimi najua ukiona mkojo umekuwa wa njano sana ndo unywe maji. 1
  • @
    @omyhermit-ki1io5 months ago Mnatuchanganya nynyi madaktar asa tumuamini nan.
  • @
    @tunsumemwajumba71492 years ago Nikipata kiu ya maji usiku naweza kunywa? 1
  • @
    @alicbenezeth1944 years ago Mm niko na kg45 je nashauliwa nitumie maji kias gan.
  • @
    @richardjonasi6698last year Mm namaliza siku 5 tu maana sierewi kabisa.
  • @
    @phebibedon76344 years ago Jamani ma dr. Kibaoo wanatushauri tunywe maji tena tusisubilii kiuu! Huyu pia anasema tusinywee mpaka kiu! Mhuuna vpi mikoa yenye mtu huwa hasiki kiu sasa si ataka mwez bilaa kunywa maji? Je itakuwa sawa kweli kiafya? Daaa metu hapaa. ...Expand 2
  • @
    @babyhamisi53314 years ago Wengine wanasema tunywe maji bila kipimo maji hayana madhara, wengine wasema maji kwa kiwango, mungu tusaidie. 19
  • @
    @user-jp5yy6kb9h9 months ago Mm nina kilo 95 nakunywa maji lita 4 je inafaa. 1
  • @
    @mariaemmanuel94944 years ago Dr. Nifanyeje nipungue maana nina uzito mkubwa na tumbo kubwa. 1
  • @
    @EliechiKimario-bv1gz4 months ago Ki ufupi madaktri wa mtandaoni mnatuchanganya bhanaa we unasema hayafai wengine wanaelezea yanafaa tufwate lipi watu ni asantee docta tu.
  • @
    @neemagoodluck62744 years ago Dr nina hiyo shida ya kujaa miguu na kupumua kama nataka kufa, nifanyeje. 1
  • @
    @rachealkitawa21534 years ago Ndio asante kwa mafunzo ila tusipo kula ivyo vyakula tule nini wakati vyakula ivyo ndivyo viko katika jamamii inayo tuzunguka.
  • @
    @lucydavid35824 years ago Dr mim moyo unanishutuk xn na ninauzito wa 80 naomb ushauri wako maji ninjwe lita ngapi kwa siku naomb unisaidie plz. 3
  • @
    @kavishevicky18164 years ago Mungu tu atusaidie kila mtu anasema lakwake. 5
  • @
    @hadija8462 years ago Asante sana dokta mimi ninaupungufu wa homon kwa sasa nakunywa dawa ya homon na nilikuwa nakunywa maji mengi miguu imevimba tumbo ni kubwa na unene sipunguwi . ...Expand
  • @
    @faridhassan23084 years ago Sasa nimekuelewa dokta nina uzito wa 120kg na kila nikijitahidi kupungua sipungui hata nifanye nini, ila leo nimejuwa kuwa sababu ni unywaji maji kwa kufuata asante naanza leo kufanyia kazi hiyo hali. ...Expand 1
  • @
    @bernadethaprosper4 years ago Nahitaji kuongea na ww hata kwa simu kuhusu topic ya maji.
  • @
    @saumuseif91894 years ago Shukran ila wengine wanasema tunywe majimengi. 2
  • @
    @annamlaponi94544 years ago Hongera kwa kazi njema dr. Ila swali langu mtu mwenye shida ya mawe kwenye figo au shida ya figo, na ini kuzungukwa na mafuta, je anaruhusiwa kula hizo nyama ambazo ndo unatusisitiza tule? 2
  • @
    @annajustine51044 years ago Ahsante sana doctor, je na mtu anayesumbuliwa na presha anatakiwa anywe maji kiasi gani kwa siku?
  • @
    @zainabmmapala80734 years ago Mm ni mwembamba na hata sifiki uzito wa kilo 50 na tatzo la ganzi ndy langu. Kla sehem ya mwili an, na hua linatokae mara kwa mara, nisaidie ufumbuz hapo. 1
  • @
    @officialtunumziwanda32812 years ago Akili zakuambiwa ongeza na zako usinywe maji mengi utakapo tundukiwa drp la maji hospital utajua hujui mbuzi nyie.
  • @
    @henriettenkuba70784 years ago Ntakufwata sana lakini point sipate. Yani sipate jibu sahihi la swali.
  • @
    @khneesajumaa20524 years ago Twambie ni vyakula gani vya kuepuka kula mala kwa mala. 3
  • @
    @janetisamson37354 years ago Na kama unatatizo la kisuka unatakiwa kunywa maji kiss gan.
  • @
    @bensonlucas76074 years ago Somo zuri sana ila punguza kiswa_english kingi.
  • @
    @ms.independent89344 years ago Kwaiyo tunywe maji kidogo? Maana mtu akienda hospital tuna ambiwa tunywe maji mengi na ww unasema tusinywe maji mengi. Sasa hatu waelewi. 1
  • @
    @ms.independent89344 years ago Dr. Unapatikana wapi kio offc? Maana mm nina matatizo ya haja kubwa mm sio mnene ila nina presha pia na nimeambiea nile mboga za majani na matunda na maji mengi ila ningependa nijuie zaidi kitaalam kuhusu maradhi yangu hao. 1
  • @
    @neemamwaijegha21093 years ago Mimi kuna nes aliniambia ninywe maji lita tano kwa siku nilikua mja mzito kwahiyo uzito uliongezeka sana. Nilimwambia nakunywa lita mbili na nusu alinigombeza nikaanza kunywa kwa kujilazimisha mpaka nimalize lita tano. Nilipo jifungua nikaanza kupumua kwa shida sana. Nimeenda hospital nikaambiwa moyo umetanuka. Nimeumia sana. Hata sijui kama nitamona. ...Expand 1
  • @
    @sele25074 years ago Mtu anywe lita ngapispeech yako doctor, yan mi sijapata suluhisho kaba. 2
  • @
    @irenemmasy792 years ago Mimi nakaaga wiki nzima siskii kiuninywe maji mengi asante dokta umenisaidia leo nimejua. 2
  • @
    @rosekisanga80893 years ago Napenda kutumia maji mengi kila siku sasa nimepata tatizo la kuhisi kushindwa kupumua nitumie dawa gani.