Duration 6:36

Daktari kiganjani: Baada ya kujua faida hizi,hutoacha kuoga maji baridi na pia kujikandia unapoumia

726 watched
0
24
Published 18 Sep 2021

Series yetu mpya kabisa kuhusiana na majitunayotumia kuoga. je maji yapi ni sahihi na yanapaswa kutumika wakati wa kuoga? wengine husema ni maji ya moto na wengine ya baridi. leo tunaanza na maji baridi na tunaongelea faida yake kwa watu wote na hasa wenye magonnjesa mbalimbaki katika mfumo wa moyo. kwanini watu wanatumia maji moto ujikandia baada yakuumia, je kuna faida gani utapata ukitumia maji baridi bala ya moto? Daktari Kiganjani ni chaneli yako Pekee utakapo pata majibu na Elimu ya kitabibu kuhusu Magonjwa na hali mbali mbali za Kiafya... Daktari wako yupo kukuelezea na kukuchambulia. mawasiliano; simu:+255624054976 email:daktarwang@gmail.com Instagram: https://www.instagram.com/daktari_kiganjani/?hl=en narration: Anatoria Gabliel, Instagram:https://www.instagram.com/anatoria_gabriel/?hl=en Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use. ALL RIGHTS BELONG TO THEIR RESPECTIVE OWNERS

Category

Show more

Comments - 8