Duration 5:55

Jinsi ya kupika vitumbua vya mchele laini na vitamu | Soft mini rice cake recipe

821 483 watched
0
9.3 K
Published 31 Jul 2019

Kwa Dar kama utahitaji hii pan ya vitumbua tafadhali gusa hii link kupata maelezo 👉 https://www.instagram.com/p/B4fH1M7lf27/?igshid=190tdqqc8u7la ingredients 2 cups rice (soaked overnight) 2 and half cups coconut milk 1/2 cup white sugar 1 tbsp yeast 1/2 tsp cardamom powder oil for cooking ____________________________ For more updates please join my social media family ❤ ✔instagram: @jifunze_mapishi 👉 https://www.instagram.com/jifunze_mapishi/ ✔Facebook jifunze mapishi 👉 https://www.facebook.com/shunaskitchen/ __________________________________________ ✔For business enquiry only : shunaskitchen@gmail.com __________________________________________ ✔More videos to watch - Shuna's Kitchen katlesi za nyama/Mince potato chop: /watch/8q-NNB6xb6wxN katlesi za samaki/Potatoe and tuna kebab: /watch/8q-NNB6xb6wxN kachori/Potato balls: /watch/8JFTpbYQIMjQT Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia sambusa/Homemade samosa wrapper: /watch/YCD2ThgynY7y2 Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia spring rolls/Homemade spring rolls wrapper: /watch/sC4jewTLSKJLj Jinsi ya kutengeneza sambusa za viazi/Vegetables samosas: /watch/odGRhjneTu9eR Jinsi ya kutengeneza mikate ya mofa/Muufo bread: /watch/c89p5ZH0uJR0p Jinsi ya kupika mikate ya ufuta/Sesame bread: /watch/sJdkJj33YLs3k Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka bila kukanda unga sana/No knead soft chapatis: /watch/Y0xSXy645Pt4S Vipopoo vya nazi/Mini sweet dumplings in coconut cream: /watch/8M8s9Ae5FSK5s Jinsi ya kuandaa shawarma ya kuku/Chicken shawarma: /watch/kn9LvsKNLOKNL Jinsi ya kupika maandazi ya iliki malaini/Cardamom fried bread: /watch/QmB5ES7OyGXO5 Rolls za chapati na kuku/Chicken Chapati rolls: /watch/Y4oEhs2YZD-YE Jinsi ya kupika fish sticks/Fish stick kebabs : /watch/c6gxirx_-By_x Jinsi ya kutengeneza masala ya chai/Tea masala powder: /watch/Q7nHUVzSDdESH Banzi za samaki na cheese/Tuna and cheese buns: /watch/kjvCmSKkcv_kC Mchuzi wa nazi wa kuku/Chicken breast in coconut milk: /watch/IbzBVubzKJwzB Kuku wa sekela/ Sekela grilled chicken: /watch/AiNqrrkeS9Meq Maandazi ha ufuta/Sesame fried bread: /watch/43nFEZq0tpo0F Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga wa mchele/ Rice flour mini cakes: /watch/QOrkh_qvNgvvk Jinsi ya kupika jicho la mke mwenza/Egg tuna kebab: /watch/QOrkh_qvNgvvk Viazi karai/Spicy fried potatoes: /watch/8YzfaBqls72lf Muhogo wa nazi na samaki/Cassava in coconut cream: /watch/EQ7T_11XBw7XT Uji wa shurba/Shourba/Oats and meat soup: /watch/wYEwQyKDlxdDw Maharage ya nazi/Red kidneys beans in coconut milk: /watch/cZieIx6NtiYNe Uji wa ngano nzima:Whole wheat porridge: /watch/kHJo6wL_3eu_o Mishkaki ya nyama/lamb skewers: /watch/IQCm1f28j5z8m Vibibi vya tui juu/Pancakes with coconut sauce: /watch/UKthx94MhT9Mh Jinsi ya kupika pilipili ya kukaanga/Hot chilli paste : /watch/oSgLoM7y0yqyL Chicken pockets: /watch/g2ra-Xgu_Miua Jinsi ya kupika mikate ya bwana/Baked sesame bread: /watch/QIWAGT-Af6IAA #vitumbua #ricecakes #shunaskitchen

Category

Show more

Comments - 589
  • @
    @farzanawalji75184 years ago I tried the recipe, turned out really well appreciate you sharing it. Thank you. 10
  • @
    @fatoomysaleh78273 years ago It' s so delicious thanks. I like your foods. 4
  • @
    @CanalClarear5 years ago T puxado no estou conseguindo entender essa receita boa noite meus amor. 1
  • @
    @naseemnaeem77325 years ago Mashallah thy look so yummy. Thnx shuna b blessed. 8
  • @
    @omologeorge84034 years ago Your explanation is clear and very simple to understand. I' ll try your recipe. 10
  • @
    @wairari3 years ago These things are soo delish. A friend made some for me and i can' t stop eating them. Not to forget am on keto. Lawd help me. 2
  • @
    @allitm46422 years ago Looks delicious! Keep up the great work shuna. 2
  • @
    @nahidssimplecooking47703 years ago Mashaallah i tried your recipe and got perfect vitumbua. God bless. 6
  • @
    @samiranuurhassan26704 years ago Mashallah napenda mapishi nakushur nimejifunza vitu vingi kutoka kwako,kila nikijaripu mapishi yako vinatoka sawa 3
  • @
    @rukianjau58924 years ago Wow thank you so much i tried them ad they came out perfect. 3
  • @
    @romanopinto51723 years ago Ahsante. Nimepika vitumbua kutumia recipe hii. Zilitokakabisa. Wote nyumbani wamefurahi.
  • @
    @salamahmngoya29322 years ago Shuna' s una uwalimu ndani yako unauwelewa sanaa unajuwa kuelekeza mapishi yako hayana mbwembwe nyingi mashaallah.
  • @
    @Blessing83865 years ago Very nice! Job well done! I will try.
    i would like to know where did you buy your pan please.
  • @
    @shumitawa88555 years ago And here i was thinking it was very hard making tht recipe! May allah sw bless you. 11
  • @
    @abangaabanga46774 years ago A quick question though, what if u already have the rice flour, do u still need to soak it in water or u can just add the coconut milk and the rest of the ingredients and proceed to the frying part? 3
  • @
    @nunuunadhir62352 years ago Asante mungu akujaze kheri amin inshaallah. 1
  • @
    @dewdropinn44 years ago If you can' t soak rice overnight what' s the minimum amount of time you can soak it?
  • @
    @ramajb8556last year Mashallah allah akuzidishie ujuzi zaid.
  • @
    @zinatali53312 years ago Asante kwenye recipe nina swali je kama umezidisha tui ikawa maji.
  • @
    @aminalembariti49273 years ago Mashallah, napenda kweli channel yako. Una ujuzi wa hali ya juu sana. 1
  • @
    @charitymghoi11995 years ago Mashaallah nmejaribu imetoka vizuri sana.
  • @
    @rehematawalani7332 years ago Maa shaallah vitumbua vimependeza hivo.
  • @
    @halimambeyu5733 years ago Asante sana leo nimejaribu vimetoka vizuri sana ubarikiwe sana.
  • @
    @mamuubongisa69405 years ago Mashallah vizur mnoo ntajaribu n. A. Mm. 2
  • @
    @AliMohamed-kd1uc4 years ago Asante sana kupitia kwako leo hio napika vitumbua vizuri sana.
  • @
    @farisal-rawahi75335 years ago Mashaallah tabar rahman vitumbuwa vizuri.
  • @
    @salmaabdallah95982 years ago Mashallah nimependa pia umeeleweka sana umeelewesha sana.
  • @
    @shanisaid67442 years ago Shukran may allah akuzidishie ujuzi na allah atakulipa kwa hilo.
  • @
    @babyaugustino60382 years ago Nitajaribu leo vitumbua vya mchele asante sana from massachusetts.
  • @
    @ashachiapo82524 years ago Mashaallah allah akupe unri zaidi utufunze mingi.
  • @
    @MariamMohamed-bw8xf5 years ago Mashaallah mungu aku zidishie kheri kwa kutu elimisha kupika.
  • @
    @mmn74802 years ago Mungu akuweke dada najifunza vtu vingi sna kupitia channel yko ubarikiwe.
  • @
    @yasminmawani21573 years ago Madam nili penda video sana. Loved your video shukran. Thanks from: canada. 1
  • @
    @fatmasaid58645 years ago Shukran habibty vitumbua vizuri allah amubarik. 2
  • @
    @phiphifitch21773 years ago Ahsante sana dadangu nimejifunza mengi kupitia kwako.
  • @
    @levinamukbangasmr2 years ago Vitumbua mwisho hapo, shuna, yum. I have to try that recipe.
  • @
    @faizasaid82625 years ago Mashallah chuma chako nimekipenda kikubwa.
  • @
    @ilahmoalkindi75665 years ago Ma sha allah unatumia mchele gani habibti.
  • @
    @SAFSMJ4 years ago Thank you, i happy to find original vitumbua recipe. 1
  • @
    @takyatupu68394 years ago Yummy nasubir chuma changu kifike nipike na mie.
  • @
    @sandra-ir7so4 years ago Nilipika hivi jaman mme wangu alipenda asante.
  • @
    @alimanana7564last year Asante mpenzi nami lo nimepika saga noti na vitumbuwa.
  • @
    @kingsdaughter20405 years ago Watoto watafurahia wapo likizo shukran.
  • @
    @herculesthepower15449 months ago Ahsante kwa video yako. Nimefata exactly kamana alhamdullilah vimetoka vizuri sana kwa muonekano, ila katikati kidogo imekuwa sticky sijui kwa nini unadhani? Lkn kwa sura just beautiful.
  • @
    @batuliramadhani36765 years ago Mashallah nzuri sana
    nauliza watumia mchele gn.
  • @
    @abangaabanga46774 years ago Yaani niklikuwa sina pan yakutengenezea hivi vitumbua lakini luckily just got the pan today after i ordered online, so i will be following your recipe6th june 2020, thanks. 1
  • @
    @habeebatadam14115 years ago Masha allah am happy to see my country favourite dish. 2
  • @
    @husseinabdalla52185 years ago Mashaallah mungu akubarki dada kw kutufunza.