Duration 2:11

HADHARANI RAIS SAMIA AMUINUA IGP SIRRO/AMPA MAAGIZO

103 243 watched
0
257
Published 7 May 2021

"Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kwamba Dar es Salaam wanajaribu kina cha maji. Ujambazi na upokonyaji umeanza kuja juu, naomba nitoe meseji wasijaribu kina cha maji, IGP Sirro uko hapa, naomba ushughulikie"- Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 41